UN: Afrika na dunia kwa ujumla zinatishiwa na ukame mbaya sana

Your browser doesn’t support HTML5

Afrika na dunia kwa ujumla zinatishiwa na ukame mbaya sana, Umoja wa Mataifa imetahadharisha.

- Licha ya kuwa ni safari zenye hatari kubwa na wengi wakipoteza maisha, vijana bado wanaendelea kuvuka bahari Senegal kuelekea Ulaya kutafuta maisha. - Pia tutakuletea Makala Maalum, endelea kusikiliza

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari