Umuhimu wa jimbo la Texas kwenye uchaguzi wa Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Texas, jimbo la pili kwa ukubwa nchini Marekani lilikuwa ngome ya chama cha Republican, lakini sasa linabadilika. Elizabeth Lee wa VOA, anaelezea kwa nini Texas imebadilika na kuwa zambarau. Idd Ligongo anaisoma ripoti kamili.