Umoja wa Ulaya unatarajiwa kutangaza msimamo dhidi ya Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Wakuu wa Umoja wa Ulaya wanaendelea na mazungumzo wakati ikitarajiwa kuwa watatoa msimamo mapema dhidi ya hatua ya Russia kumhukumu Mwanaharakati Alexei Navalny kifungo cha jela.