Umoja wa Mataifa waonya juu ya janga la njaa nchini Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa waeleza hatari ya janga la njaa inayowakabili watoto, wanawake na wanaume nchini Yemen ambapo vita inaendelea.