Umoja wa Afrika wamfagilia mgombea wa Nigeria nafasi ya WTO

Your browser doesn’t support HTML5

Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amfagiia mgombea wa Nigeria akisema anaujuzi wa kutosha kuongoza Shirika la Biashara Duniani (WTO).