Umati mkubwa wajitokeza kumuenzi Maradona

Your browser doesn’t support HTML5

Nguli wa kandanda duniani Diego Maradona azikwa na watu wachache wakiwemo ndugu na marafiki baada ya mwili wake kuagwa na umati mkubwa wa mashabiki nje kidogo ya mji mkuu wa Buenos Aires, Argentina.