Ulimwengu washangazwa na uvamizi wa wafuasi wa Trump bungeni

Your browser doesn’t support HTML5

Ulimwengu washangazwa na tukio la wafuasi wa Rais Donald Trump kuvuruga kikao cha Bunge la Marekani cha kurasmisha ushindi wa Joe Biden.
- Nana Akufo-Addo aapishwa kuwa rais kwa muhula wa pili siku mmoja baada ya kutokea vurugu bungeni nchini Ghana.

-Sudan yapata mkopo kutoka Marekani pamoja na kusaini mkataba mwengine wa kurejesha uhusiano mwema na Israeli.