Ulemavu siyo pingamizi kupata mafanikio, asema Mohamed

Your browser doesn’t support HTML5

Mwanasarakasi mwenye ulemavu wa jicho asema kila kitu kina wezekana iwapo kuna bidii na mazoezi.