Ulaya na Marekani zamaliza tofauti zao

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Ulaya na Marekani wapongeza makubaliano yaliyofikiwa yakumaliza ugomvi wa muda mrefu wa kuwekeana ushuru katika ruzuku zinazotolewa kwa makampuni makubwa yanayotengeneza ndege ya pande hizo mbili.