Ukraine : Nchi za Magharibi na Marekani zachukua hatua za kidiplomasia

Your browser doesn’t support HTML5

Jumuiya ya kimataifa yalaani uvamizi uliofanywa na majeshi ya Russia na juhudi za kidiplomasia zinaendelea upande wa nchi za Magharibi na Marekani ili kuhakikisha uhuru wa mipaka ya Ukraine unaheshimiwa.