Ukraine: Mtanzania na Mnigeria wawasili Poland, waeleza hofu iliyowakuta

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi kutoka Afrika mmoja Mtanzania na mwengine Mnigeria wamefanikiwa kuvuka mpaka kutoka Ukraine kuingia Ujerumani na wanaeleza misukosuko waliokutana nayo wakati wa safari yao wakikimbia mashambulizi ya Russia huko Ukraine.