Ukosefu wa sarafu ya dola watabiriwa kuathiri uchumi Afrika Mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

Kuna wasiwasi wakutokea halingumu ya kiuchumi kutokana na uhaba wa dola za Marekani.

- Thamani ya shilingi ya Kenya imeshuka kwa kiwango kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni ukosefu wa Dola za Marekani katika soko la Kenya