Japokuwa serikali tofauti zimekuwa zikiendeleza miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu, walengwa wanaonekana kutofaidika. Ungana na Mwandishi wetu Zainab Said akieleza watu wanavyokabiliwa na tatizo hilo na nini kinachofanywa kulitatua tatizo hilo...
Ukosefu wa makazi nafuu Nairobi, wasababisha wananchi wengi kuisi katika hali duni
Your browser doesn’t support HTML5
Nairobi sawa na miji mingine barani Afrika, inakumbwa na uhaba wa nyumba. Idadi kubwa ya watu wanahamia mijini kutoka mashambani ikifanya hali kuwa mbaya zaidi.