Ukanda wa Sahel wavamiwa na wanamgambo wa Kiislam
Your browser doesn’t support HTML5
Maeneo ya kaskazini ya Burkina Faso katika ukanda wa Sahel yavamiwa na wanamgambo wa Kiislam ambao wana waandikisha watu wanaobaguliwa na serikali iliyoko madarakani.