Ukame : Rais Kenyatta atangaza janga la taifa

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza ukame unaozikabili baadhi ya sehemu za nchi hiyo kuwa ni janga la kitaifa.