UJUMBE WA MKURUGENZI WA VOA KWA WASIKILIZAJI

Your browser doesn’t support HTML5

"Nataka kuwafahamisha kwamba wakati afya na usalama wa wafanyakazi wetu ni kipaumbele chetu cha kwanza, pia tunafahamu fika kwamba wakati wa kipindi hiki kigumu nyote mnatuangalia na kutusukiliza sisi katika kupata habari za uhakika ambazo hazielemei upande mmoja, ili muweze kufanya maamuzi kuhusu maisha yenu," Amanda Bennet.