Ujerumani yatuma wanajeshi 350 NATO

Your browser doesn’t support HTML5

Ujerumani yatuma wanajeshi 350 kwa jeshi la Jumuiya ya Kujihami, NATO, wakati mvutano wa Russia na Ukraine ukiendelea kuwa tete.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari