Ujangili waiweka hifadhi ya Sokwe Congo Brazzaville hatarini

Your browser doesn’t support HTML5

Hifadhi ya Western Low Land Gorilla imeorodheshwa kuwa hatari sana kutokana na ujangili na uwindaji haramu huko Congo Brazzaville kati ya mambo mengine.