Uingereza yaruhusu utafiti wa chanjo tofauti

Your browser doesn’t support HTML5

Uingereza imekubali kufanyika utafiti wa chanjo ya COVID-19 ya makampuni tofauti iwapo chanjo hizo zinaweza kutumika kwa dozi ya kwanza na ya pili.