Uingereza na dunia zaomboleza kifo cha Prince Philip

Your browser doesn’t support HTML5

Uingereza na dunia waomboleza kifo cha mume wa Malkia Elizabeth, Prince Philip aliyefariki akiwa na umri wa miaka 99.
- Jopo la Mahakama linasikiliza ushahidi kutoka kwa mtaalam wa afya kuhusu kifo cha Mmarekani Mweusi George Floyd.

-Wakenya waishutumu serikali yao kushindwa kutoa mpango wa kuwanusuru kupoteza kazi wakati huu wa COVID-19.