Uingereza kuisaidia Kenya kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Uingereza yaahidi msaada wa mamilioni ya fedha kusaidia kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, ugaidi na janga la Corona.