Uhaba wa mahitaji muhimu wawakabili wakimbizi wa Sudan Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la kuwahudumia wakimbizi UNHCR linasema ufadhili unahitajika haraka sana kuokoa maisha ya wakimbizi wa Sudan Kusini ikiwemo maji safi, makazi, elimu na huduma za afya walioko nchi jirani.