Uganda yawasaka wafungwa zaidi ya 219 waliotoroka na silaha

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa usalama nchini Uganda vinawasaka wafungwa 219 waliotoroka jela na silaha katika mkoa wa Karamoja.