Uganda yasheherekea matokeo ya ushindi wa Rais mteule Museveni

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya Rais mteule Yoweri Museveni kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu Uganda, wafuasi wa Museveni na vyombo vya usalama wajitokeza mitaani katika shamrashamra za kupokea matokeo hayo.