Uganda yaanza kulegeza masharti ya karantini

Your browser doesn’t support HTML5

Serikali ya Uganda imeanza kulegeza masharti ya kutotoka nje kwa kuruhusu magari binafsi kutumika, maduka na migahawa kufunguliwa.