Uganda: Wazazi wa watoto wenye utapiamlo wahofia watoto wao kufariki
Your browser doesn’t support HTML5
Familia za watoto wanaokabiliwa na utapiamlo nchini Uganda walipokelewa katika wodi ya watoto wenye matatizo ya utapiamlo wanahofia watoto wao wanaweza kufariki kutokana na njaa.