Uganda na DRC zakubaliana kuendelea na operesheni ya kulitokomeza kundi la ADF

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa Majeshi ya Uganda pamoja na mwenzie wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wakubaliana kuendelea na operesheni za pamoja yenye lengo la kuwatokomeza wapiganaji kutoka kundi la kigaidi la ADF linalohusishwa na uhalifu wilayani Beni, Kivu Kaskazini.