Uganda yalaumiwa kutumia fedha vibaya.

Jengo la Bunge la Uganda.

Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali ya Uganda, inaikosoa serikali kwa matumizi mabaya na wizi wa mabilioni ya pesa katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Your browser doesn’t support HTML5

Fedha zatumiwa vibaya Uganda

Akiwasilisha ripoti hiyo kwa spika wa bunge, mkaguzi mkuu wa serikali John Muwanga, amefichua kwamba serikali imepoteza zaidi ya shilingi trilioni 5 kupitia mazigira yasiyoeleweka.
Wiara ya serikali za mitaa hasa imelaumiwa kwa utumizi wa zaidi ya shilingi bilioni tatu kwa miradi ambayo haikuwa kwenye bageti,huku bilioni 635 zikishukiwa kuwekwa kwenye akauti za kibinafsi.