Uganda kupoteza dola bilioni 1.6 sekta ya utalii kutokana na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Museveni asema Uganda itapoteza dola bilioni 1.6 kwa mwaka katika sekta ya utalii kutokana na mlipuko wa corona.