Ufugaji wa jongoo waongezeka Zanzibar

Your browser doesn’t support HTML5

Soko la jongoo katika bara la Asia limeleta msukumo wa ufugaji wa jongoo nchini Zanzibar na kuboresha maisha ya wananchi wa visiwani.