Shule zafunguliwa Ufaransa baada ya tukio la kukatwa kichwa mwalimu

Your browser doesn’t support HTML5

Shule nchini Ufaransa zimefunguliwa kwa mara ya kwanza tangu tukio la kukatwa kichwa mwalimu kwa madai ya kumdhihaki Mtume Muhammad