Ufahamu unyanyapaaji wanaokabiliwa nao wagonjwa wa kifafa
Your browser doesn’t support HTML5
Wiki hii Maisha na Afya inaangalia unyanyapaa uliopo kwa wagonjwa wa kifafa na namna ya kuwasaidia waathirika wa ugonjwa huo pindi hali hiyo ya kuanguka inapowatokea.