Uchaguzi Haiti : Maafisa wa usalama washindwa kudhibiti ghasia

Your browser doesn’t support HTML5

Wakati serikali ya Marekani na jumuiya ya kimataifa ikishinikiza serikali ya Haiti kuandaa uchaguzi maafisa wa usalama waelemewa na ghasia nchini humo.