Uchaguzi wafanyika Uganda katika hali ya wasiwasi

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi Mkuu nchini Uganda wafanyika katika mazingira ya kuzimwa mtandao wa intaneti, wanajeshi kushika doria huku wasiwasi ukienea juu ya uwezekano wa kutokea ghasia.
-Baraza la Wawakilishi lamfungulia mashtaka Rais Donald Trump wiki moja kabla ya kuondoka madarakani.
-Rais John Pombe Magufuli ampongeza Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff kwa kuridhia kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.