Uchaguzi wa Rais : Kiongozi wa upinzani Malawi aongoza

Your browser doesn’t support HTML5

Vyombo vya habari Malawi vimeripoti kiongozi wa upinzani anaongoza kwa asilimia 55 katika uchaguzi wa rais wakati matokeo rasmi yakisubiriwa.