Uchaguzi wa kamati ya Olympiki ya Tokyo kuanza mara moja

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa kiongozi wa kamati ya Olympiki ya Tokyo utaanzishwa mara moja baada ya mkuu wa michezo ya Olympiki ya Tokyo mwaka 2020 Yoshiro Mori kujiuzulu Ijumaa na kuomba msamaha tena kwa matamshi yake ya kashfa ya kijinsia ambayo yalisababisha lawama ulimwenguni.