Uchaguzi : Motsepe yaelekea atakuwa kiongozi wa CAF
Your browser doesn’t support HTML5
Patrice Motsepe, bilionea wa Afrika Kusini anatarajiwa kuwa kiongozi mpya wa Shirikisho la Soka Barani Afrika, CAF, baada ya makubaliano yaliyo simamiwa na Rais wa FIFA ambapo wapinzani wake walijitoa.