Uchaguzi Mombasa, kakamega na maeneo mengine wapita kwa usalama

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi katika majimbo ya Mombasa, Kakamega maeneo bunge kadhaa nchini Kenya umefanyika Jumatatu katika hali ya utulivu. Ungana na waandishi wetu wakikusimulia yaliyojiri katika vituo vya kupiga kura.