Uchaguzi Mkuu Ethiopia : Wananchi watoa maoni yao
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati Uchaguzi Mkuu uliofanyika Ethiopia Jumatatu ukielezwa kama ni mtihani mkubwa kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed, wananchi wamejitokeza kupiga kura na kutoa maoni yao...