Uchaguzi Mkuu 2020 : Upigaji kura mapema waanza visiwani Zanzibar
Your browser doesn’t support HTML5
Upigaji kura wa mapema umeanza visiwani Zanzibar nchini Tanzania kwa makundi ambayo yatakuwa na majukumu siku ya uchaguzi Jumatano Oktoba 28, 2020.
Your browser doesn’t support HTML5