UCHAGUZI MAREKANI: Kupambana na habari za uongo

Your browser doesn’t support HTML5

Nyakati hizi ambapo kuna habari nyingi za uongo zinazosambaa, imekuwa vigumu sana kwa watu kubaini ukweli ni upi. Lakini kama Tina Trinch anavyoripoti, makampuni ya teknolojia yanasaidia watu kupata maarifa ya kutofautisha habari za uongo na zile za ukweli. Idd Ligongo anaisoma taarifa kamili.