Uchaguzi Marekani 2020 : Siku ya mwisho kupiga kura Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi Marekani wafikia kileleni Jumanne ambapo wananchi wamejitokeza kukamilisha zoezi la kupiga kura katika majimbo mbalimbali, uchaguzi utakao amua nani atakuwa rais ajaye wa Marekani.