#BALonVOA2021 : Tunisia yaingia Nusu Fainali kwa kuishinda Senegal

Your browser doesn’t support HTML5

Timu ya Union Sportive Monastirienne ya (Tunisia) imeifunga timu ya Association Sportives des Douanes (Senegal), pointi 86-62, katika Robo Fainali ya michuano ya ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL).
Kwa ushindi huo US Monastir inaingia Nusu Fainali ya michuano hiyo, huku A.S. Douanes ikiwa imetolewa.