Tume ya Uchaguzi yamtangaza Hichilema mshindi wa urais Zambia
Your browser doesn’t support HTML5
Mgombea urais kwa tiketi ya upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema ametangazwa mshindi na Tume ya Uchaguzi baada ya kupata asilimia zaidi ya 50 za kura na kuepuka duru ya pili ya upigaji kura.