Tshisekedi aahidi kuendeleza ushirikiano na nchi jirani

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Felix Tshisekedi aahidi kuendeleza ushirikiano na nchi jirani kwa ajili ya kuleta amani ya kudumu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.