Tshisekedi awatembelea walioathiriwa na volcano Goma

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) atembelea wananchi walioathiriwa na mlipuko wa volcano huko Goma ambao wamepiga kambi hadi sasa mashuleni, baada ya makazi yao kuteketezwa na volcano.