Trump na Biden wakutana Alhamisi usiku katika mdahalo wa mwisho
Your browser doesn’t support HTML5
Mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Republikan Rais Donald Trump na mpinzani wake wa Chama cha Demokratik wakutana Alhamisi katika mdahalo wa mwisho wa rais.