Trump na Biden wafanya mikutano ya mwisho ya kampeni Jumatatu

Your browser doesn’t support HTML5

Wagombea nafasi ya urais Donald Trump na Joe Biden wanafanya mikutano ya kampeni ya mwisho Jumatatu kuwashawishi wapiga kura kuwachagua.