Trump na Biden wachuana kwenye mikutano miwili tofauti

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump na Makamu wa Rais Joe Biden washindana katika mikutano miwili tofauti Alhamisi wakati baadhi ya wapiga kura waliohudhuria wakiuliza maswali.