Trump atangaza atagombea urais uchaguzi mkuu mwaka 2024

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump aendelea na madai ya kuwa alishinda uchaguzi wa 2020 ambapo kiuhalisia alishindwa, huku akitumia kauli yushawishi wake wa kuifanya Marekani kuwa bora na yenye mafanikio tena, huku wafuasi wake wakimshangilia.

Trump aliwakosoa wapinzani wake na mamlaka mbalimbali na waandishi wa habari na alisisitiza usimamizi mkali wa uchaguzi na mageuzi. Ungana na mwandishi wetu akichambua ahadi alizotoa kwa wananchi katika mkutano huo...